029 - Yesu Amponya Mtu Penye Bwawa La Bethzatha from kitu gani Watch Video
Preview(s):
Gallery
Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
Description: Maandiko ya kumbukumbu: Yohana 5: 1-15nYesu anaponya mlemavu, lakini Yesu hataki ajue ni yeye aliyemponya.nnSwali 1: Ni kwa kiasi gani unafikiri ulemavu na maradhi husababishwa na dhambi?nnSwali 2: Viongozi wa Kiyahudi walipinga kuponya siku ya Sabato. Ni kitu gani kinaweza kukushawishi wakati unapojihisi huwezi kumsaidia mtu? Kwa nini?nnSwali 3: Unafikiri ni sababu zipi zinawafanya watu kutokubali msaada wake Yesu?nnTazama, pakua, au chapisha swali za majadiliano za Injili ya Kimataifa: https:/