IHUNGO SEKONDARI, BAADA YA TETEMEKO 2016 NA BAADA YA KUJENGWA UPYA NA KUKAMILIKA 2018 from matatu Watch Video
Preview(s): Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
Description: SISI WATANZANIA TUMEAMUA•••nkufanya maamuzi sahihi yatakayonufaisha wananchi walio wengi hasa wanyonge!nn#TupoVizuri; sikia hii:-nnKatika video hii ni muonekano wa baadhi ya majengo mapya ya serondari mkoani Kagera ambayo ndio ilee iliyoharibiwa vibaya na kubomoka baada ya mkoa huo kukumbwa na tetemeko lililotokea tarehe 10 Septemba, 2016. nnSerikali mara moja ilifanya maamuzi ya kutumia vizuri michango ya misaada iliyotolewa ndani na nje ya nchi kujenga upya miundombinu ikiwemo shule hii